Kongamano la vijana na Mwalimu Nyerere
Kongamano la Vijana na Mwalimu Nyerere linalofanyika Tarehe 14/10/2021 Ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete katika kuadhimisha miaka 22 ya kifo cha Mwalimu Nyerere, ambapo mgeni rasmi ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mhe. Joseph Butiku, ambaye pia alikuwa Katibu wa Mwl.Nyerere enzi za uhai wake.
Copyright © 2025 Developed by sisitanzania.org. All rights reserved.